MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025

Комментарии • 182

  • @PeterJustin-ke5mk
    @PeterJustin-ke5mk 7 месяцев назад +22

    Pastor h nakukubali sana unahekima ya ajabu Mungu akutunze

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 6 месяцев назад +3

    Upo sahihi baba , Mungu akulinde uzidi kutupatia madini, tusiyumbishwe na Hawa watu wageni wasioeleweka katika Iman, mm nimekuelewa vzr nimekataa ujinga huo.❤

  • @clemenceernestshooga
    @clemenceernestshooga 6 месяцев назад +2

    MCH..JI Hananja Mzee wa michano ya ukwer nakukubari sana haunaga vya kufichaficha mwenyez Mungu akutangulie katika huduma zako..❤

  • @henryj3304
    @henryj3304 7 месяцев назад +4

    Safi sana Pastor Hananja. May God bless you and your family ❤❤❤

  • @victorombay6625
    @victorombay6625 7 месяцев назад +3

    Very good Pastor. Ubarikiwe Pastor

  • @amosmwangela1878
    @amosmwangela1878 7 месяцев назад +10

    kijiji bila wazee ni uhuni,mzee kanyoosha vizuri sana

  • @neemakalugila7674
    @neemakalugila7674 7 месяцев назад +1

    May the Living God bless you abundantly Pastor, from Holland 🇳🇱

  • @Fred-Ma
    @Fred-Ma 7 месяцев назад +15

    Nafurahi sana kukutana na mtu mwenye akili anayeniimarisha😅

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 7 месяцев назад +2

    MashaaAllah MashaaAllah mchungaji hananja mwenyezi mungu akutangulie kwenye maisha yako inshallah

  • @privaushaki7395
    @privaushaki7395 7 месяцев назад +11

    Huyu ni mchungaji na mwalimu mwenye busara sana

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 7 месяцев назад

      Huyu anafaa akae meza moja na bishop ngonyani jamaa anajua ingia you tube tafuta kipindi kinaitwa izrael Katika unabii jamaa anachambua bible hatari

  • @peteruzia8313
    @peteruzia8313 6 месяцев назад +1

    Ameen Kubwa BABA maua mengiii kwako mimi binafsi nakuelewa unacho kizungumza

  • @SamweliMapuga
    @SamweliMapuga 6 месяцев назад

    Mungu wetu ni waupendo naunyenyekevi nimungu wa fraha Asante mtumishi hananja Kila roho iliyojikana hutii neno la jumbe zako, Atakuongea chemchemi rohoni mwako kilafundisho likawe mbegu kwa mioyo ya waaminio ishikwaamani ukidhmu katika kufundisha

  • @Robert-v8f5e
    @Robert-v8f5e 7 месяцев назад +6

    Umesema kweli Rev: Hananja

  • @JosephAndrea-s5u
    @JosephAndrea-s5u 6 месяцев назад +1

    Huo ni ujumbe mkubwa kw watanzania ambao hawa amini Maisha wanayoishi

  • @millifire693
    @millifire693 6 месяцев назад +1

    Hakika huyu ndie pastor, haitaji kubadili sauti wakati wa kuongea, anaambatanisha mstari wa bible kila neno la hekima hatakaloongea ❤🙏🙏

  • @YousraSalimMohamad
    @YousraSalimMohamad 6 месяцев назад

    Dad Mungu akujaalie unapendeza ukivaa hivyo Mungu akupe Khery nyingi 💕💕💕🤲🏼

  • @modernmwamtobe-lq8rg
    @modernmwamtobe-lq8rg 7 месяцев назад +1

    Asante sana paster.kwa hekima ya majibu yako kibiblia kwa busara.

  • @Allen-e2q
    @Allen-e2q 6 месяцев назад

    Hakika umenibariki kwa mada nzuri kumbe ukijijenga kiuongo utaishi kwa uongo ukitafakari kwa kweli utaishi kwa ukweli Ahsante

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 7 месяцев назад +7

    Hizi ibada yakuwa kiboko yawachawi nk nibiashara tu wala sio ibada ambayo tumeelekzwa kufanya kuwa ndio kuabudu.
    Huku ni kufeli kwasababu tumeletwa duniani kumuabudu Muumba now kinachofanyika ni uzushii tu napia leo watu wamekumbwa na stress kutokana na maisha kuwa magumu now ndio naona h nibiashara na watadanganywa wengi

    • @Bless-sk8uv
      @Bless-sk8uv 6 месяцев назад

      Wachawi wazazi wako na Ww

    • @StephenZangira
      @StephenZangira 6 месяцев назад

      Kweli kabisa👏🏼

    • @StephenZangira
      @StephenZangira 6 месяцев назад +1

      Binadamu ni Ibada na Ibada ni binadamu, Adam aliumbwa kwa utukufu wa Mungu na sio kuwa na hofu ya shetani, aliumbwa kumuabudu Mungu kwa roho na kweli. Wengi wanatawaliwa na hofu ya maisha bila sababu. 🤦🏼‍♂️🤷🏼‍♂️

  • @gastonmbarila9458
    @gastonmbarila9458 7 месяцев назад +2

    I love this man, sabubu ua anatoa pia maandiko

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 6 месяцев назад +1

    😂😂😂😂❤❤❤❤hyu sasa ndo MCHUNGAJI

  • @ShukraniChomolla
    @ShukraniChomolla 7 месяцев назад +2

    Mungu akutunze mchungaji, nimecheka eti hata congo wangepelekwa wachawi

  • @ALESIACHIJOKA
    @ALESIACHIJOKA 7 месяцев назад +1

    Mchungaji hananja napenda tu mazungumzo na mafundisho yako unanipa ujasiri sana wa kuishi kwa Amani . Amen Amen ubarikiwe sana naomba sana mafundisho yako .

  • @lukresiatemba293
    @lukresiatemba293 6 месяцев назад

    Kinacho nifraisha sana mtumishi wa mungu unatumia biblia asante

  • @mbalilax162
    @mbalilax162 7 месяцев назад +5

    huyu mchungaji ni noma, anaongea kidogo anakazia na andiko kwa kila atakachokisema. Biblia imelala kichwan duuh

  • @vannyk-jz7tf
    @vannyk-jz7tf 6 месяцев назад +2

    Nyau kalia kwenye send-off 😂😂

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 7 месяцев назад +4

    Kwa kweli makanisa mengi niyakichawi ndiyo sababu nikibo ko ya wachawi mara wamenasa wachawi mara apa kanisani pana mchawi atoke mara mtu katoka anatoa ushuuda mimi ni mchawi huo ni usanii siyo dini hiyo

  • @StephenZangira
    @StephenZangira 6 месяцев назад +2

    This is Soo Deep⭐

  • @jfanipoa
    @jfanipoa 6 месяцев назад

    Namkubali sanaa

  • @AbubakarJohn-bz9dj
    @AbubakarJohn-bz9dj 6 месяцев назад

    Kumbe weweehujui uchaw mungu yeyeanajuwa wew unatudanganya

  • @DanielBujiku-jq2kv
    @DanielBujiku-jq2kv 6 месяцев назад

    Jamani Mimi nayapenda sana mafundisho ya mchungaji Hananja!

  • @MadundasiDispensary
    @MadundasiDispensary 6 месяцев назад

    Duh Pastor Hananja we kiboko ......

  • @SilvesterJacob-d3z
    @SilvesterJacob-d3z 3 месяца назад

    Ubarikikiwe mzee

  • @myself4128
    @myself4128 6 месяцев назад +1

    Umenena Kweli Mtumishi ...
    huo ni ufunuo halisi toka kwa Mungu

  • @magrethmicheal4663
    @magrethmicheal4663 6 месяцев назад

    Upewe Maua yako Baba 💐💐💯

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale 7 месяцев назад +1

    dah! mch Hananja biblia Yuko vzr co wale wanaotuchezea sinema eti miujiza!

  • @costantinemgalle1910
    @costantinemgalle1910 7 месяцев назад +6

    Nakukubali mchungaji!

  • @alexandersanga8461
    @alexandersanga8461 6 месяцев назад

    Nakuelewa hananja, MUNGU akubariki

  • @irenemkimwanga1437
    @irenemkimwanga1437 6 месяцев назад

    Mungu akutunze baba❤❤❤

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 6 месяцев назад

    Safi sana mtumishi

  • @jennipherChristian
    @jennipherChristian 7 месяцев назад

    baada ya Nyerere ni wewe..... 🥰🥰🥰

  • @SebctianiKinyenje
    @SebctianiKinyenje 6 месяцев назад +1

    Nakubali elimu tosha

  • @tuikezeezra1315
    @tuikezeezra1315 6 месяцев назад +1

    Mchungaji hananja nikimuona tu nacheka hata kama hajaongea chochote.😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣

  • @DaudiKapufi
    @DaudiKapufi 6 месяцев назад

    Hakika serikali ikomalie Aya mambo hayako sawa uko sahihi mchungaji

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 7 месяцев назад +1

    Kweli kabisa sasa hivi mahubiri ni uchawi tu,wanaboa sana.Serikali iangalie hili kwa makini.Tunakoelekea ni kubaya sana

  • @SilvesterJacob-d3z
    @SilvesterJacob-d3z 3 месяца назад

    Uko true mzee apriciate

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 7 месяцев назад +3

    Nafurahi kusikia wachungaji mkijibu upumbavu unaoenezwa kwa kasi

  • @gracenizigama695
    @gracenizigama695 6 месяцев назад

    Neno la Mungu linasema; Watu wangu wanapotea kwakukosa maarifa

  • @CalistaMartin-v7m
    @CalistaMartin-v7m 7 месяцев назад +2

    Shida kubwa watu wanapenda mazingaumbwe kuliko kupenda kwelii

  • @Mlokoz_twangalatwz
    @Mlokoz_twangalatwz 7 месяцев назад +1

    Safi kabisa mchungaji

  • @lukelombembe
    @lukelombembe 6 месяцев назад

    Thank for nice messages

  • @kachabisnea8815
    @kachabisnea8815 6 месяцев назад

    Dah eti kama manyumbu vile bila shaka watakuwa ni manyumbu United hao😅😅😅😅😅😅😅

  • @JosephAndrea-s5u
    @JosephAndrea-s5u 6 месяцев назад

    Mchungaji hananja ndo mfano wa manabii wanayo yaishi Maisha ya ki Kristo bila ya hofu

  • @NkindaOnen
    @NkindaOnen 7 месяцев назад +14

    Hananja professional Bible study

  • @samuelbahati7976
    @samuelbahati7976 7 месяцев назад

    Ubarikiwe sana Mungu akubariki sana

  • @jamesluckson2367
    @jamesluckson2367 6 месяцев назад

    Hanaja ninoma sana eti alidhani wata acha jogoo 😂😂 Waka acha nazi😂😂

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 6 месяцев назад

    AMEIN Baba Ubarikiweee

  • @JosephAndrea-s5u
    @JosephAndrea-s5u 6 месяцев назад

    Father you talk about real situation in Jesus Christ life's

  • @Adamumwambiji
    @Adamumwambiji 7 месяцев назад +7

    Hakika Pastor unaweza kutuweka sawa asie elewa hatoelewa kamwe

  • @christianmwasakogo5579
    @christianmwasakogo5579 7 месяцев назад +1

    😅😂mzee mengine mengi yupo sawa na ukakasi kidogo humo kuhusu vita,vita ipo rohoni tuanzie Waefeso 6:11-12

  • @DenisAntony-z7h
    @DenisAntony-z7h 6 месяцев назад

    Akili kubwaa😂😂😂😂

  • @hildalyatuu2710
    @hildalyatuu2710 7 месяцев назад +3

    Yaani hapa ndo mwisho wa matatizo.

  • @ezralameck4150
    @ezralameck4150 7 месяцев назад +1

    Muuliza maswal hajauliza maeneo mahususi ya upotoshaji ya huyu kiboko ya wachaw😢

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 6 месяцев назад

    Munguni waupendo siyo wamaangamizi wachawi niwakutafuta nakuwahubili neno ili waokoke anayeua nilusifa na mapepo yake kama huyojamaa anavyojiita etikiboko yao .

  • @Grace_Ministry_International
    @Grace_Ministry_International 6 месяцев назад

    Huyu jamaa amejaa neno la Mungu ndani na anaongea reality

  • @VascoJohn-rp1uc
    @VascoJohn-rp1uc 7 месяцев назад

    Facts pastor

  • @ellyg7570
    @ellyg7570 6 месяцев назад +1

    Mungu sio Mwanaume 🙏🙏🙏😃

  • @ProchesterDavis
    @ProchesterDavis 6 месяцев назад

    1:34 amesema mungu sio mwanaume. Inamana mungu ni mwanamke?

  • @RichVoicetz-z9r
    @RichVoicetz-z9r 7 месяцев назад

    Ila kweri serikali Ione hili jamanii utaperi umezidi watu wanadanganywa kweupeeeeee na wanachekelea tu

  • @sandejacob623
    @sandejacob623 6 месяцев назад

    Amina mtumishi

  • @eliasilwimba187
    @eliasilwimba187 7 месяцев назад +3

    Tz raia wengi ni vilaza jamani.

  • @paulojohn5504
    @paulojohn5504 7 месяцев назад

    Ubarikiwe mtu ws mungu sana

  • @ZenaSalim-y8u
    @ZenaSalim-y8u 6 месяцев назад

    Mmh much hananja inabidi nicheke😂😂😂

  • @Alicemsafiri
    @Alicemsafiri 6 месяцев назад

    Yaani mzee anaijuwa biblia yoote achana na awo wanaosema pekea magari napokea 😂😂😂at biblia awasomi

  • @BENARDMASHAIJA
    @BENARDMASHAIJA 7 месяцев назад

    Hakika Mungu akutunze❤ unaongea ukweli

  • @GraceMakenga-zd1vn
    @GraceMakenga-zd1vn 6 месяцев назад

    Asante babaaa ❤

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 6 месяцев назад

    BONGE LA PASTER❤❤❤❤❤❤

  • @194summer
    @194summer 6 месяцев назад

    Kuna lijamaa linaitikia amenaaa😂😂😂

  • @LucyRafeali
    @LucyRafeali 6 месяцев назад

    Hakika Baba huwa nakuerewa sana

  • @Tikijmlengo
    @Tikijmlengo 6 месяцев назад

    Upo sahihi kabisa

  • @milliardere9177
    @milliardere9177 7 месяцев назад

    Nakubali maandishi

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 7 месяцев назад +1

    Na kweli kiboko ya wachawi anahubiri injili chonganishi

  • @kassimdesigner-tz
    @kassimdesigner-tz 6 месяцев назад

    Mzee wabusala

  • @roseriwa6951
    @roseriwa6951 6 месяцев назад

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa....

  • @milliardere9177
    @milliardere9177 7 месяцев назад +1

    😂😂😂😂 hela weka kichwani

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 6 месяцев назад

    Acheni uzushi hapa wa majina,tatizo wivu hamna upako km wa kiboko ya wachawi,utata ni kwako wewe mtangazaji,ndio shetani ni wamejaa kibao hapo tanzania,Mungu anasema usimuache mtu mchawi aishi

  • @victoriamtangi3287
    @victoriamtangi3287 6 месяцев назад

    Hekima kubwa

  • @perismwanyika9093
    @perismwanyika9093 6 месяцев назад

    Amina😂😂😂😂

  • @josephatdeos1792
    @josephatdeos1792 7 месяцев назад +1

    Kila anchoongea anakitetea kwa maandiko hawa ndio wachungaji tunao wahutaji

  • @millifire693
    @millifire693 6 месяцев назад

    15:23 🙏🙏🙏🙏

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 7 месяцев назад +4

    Wewe ni Mchungaji wa kweli

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 7 месяцев назад

    Huyu mch 😂😂😂

  • @tinertv1382
    @tinertv1382 7 месяцев назад

    Mnaacha kufuatilia mambio mabaya na machafu mnafuatilia watumishi kila mtu ameeitwa kivyake

  • @deogratiasrutabana2387
    @deogratiasrutabana2387 7 месяцев назад

    Binafsi sikubaliani na hoja ya Mtumishi kwasababu Biblia imeandika kama misingi ikiaribika mwenye haki atafanya nini? Hapa tunachotakiwa kutafakali ni kwanini haya yanatokea? Maana sehemu zote za kumuabudu Mungu hazipo sawa hata moja zote zimeiacha sheria ya Bwana. Mfano imeandikwa askofu ni Mume wa Mke Mmoja mbona kuna watu hawaruusiwi kuoa katika kanisa lao na wanajiita maaskofu na wengine ni wanawake wanaitwa askofu. Mleta mada anataka serikali iingilie kati wakati katiba ya nchi inasema serikali haina dini na hapo ndio kiini cha matatizo yote maana neno dini maana yake njia na njia kwa wakristo ni Yesu Kristo . Nawasii saana watanzania wenzangu tusiwe na shaka wala ofu katika haya maana ajaye atatumika kuyamaliza yote hayo na kutimiza andiko lisemalo Imani moja Bwana mmoja na ubatizo mmoja na na imani moja. Kwake Yesu lazima kila goti litapigwa. Wajibu wetu sisi tuendelee kumsii Mungu Mapenzi yake yatimie.

  • @eliasilwimba187
    @eliasilwimba187 7 месяцев назад

    Nimecheeka saa.

  • @andrewkaswagula3367
    @andrewkaswagula3367 7 месяцев назад

    Kama Manyumbu 😂😂😂😂

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 6 месяцев назад

    Huyu mchungaji. Sijawahi kumsikia kuna kitu uchawi wala free masaoni na wala wachawi

  • @eliasilwimba187
    @eliasilwimba187 7 месяцев назад +2

    Serikari ifute usajiri wa kanisa la Dominic kiboko ya wachawi haraka sana.Hata kama analipa kodi.

  • @frenkfarm1139
    @frenkfarm1139 7 месяцев назад

    selekali hiii niyawooo wala hawawezi kuwafukuza inge kua nihaki haipendi dhuluma

  • @odilkennedy2480
    @odilkennedy2480 6 месяцев назад

    Kweli hananja kuna watu minyumbu